Friday, April 13, 2012










a alivyopelekwa Vengu wa Jamani inatia huruma sana mkuu wa majeshi ...cheo ambacho defacto ni next to president kuwa halii hii bila kupelekwa india kwa matibabu kamze comedy....

nimeongea na askari waliofanya nae kazi ..wanamlilia sana huko makambini .....wanasema Huyu kamanda walimuita mtetezi wa wanyonge ....kwani aliendesha jeshi bila upendeleo hata kidogo ........na wala hakujinufaisha binafsi kwa namna yeyote ile.....ni mtu pekeee wakati wa utawala wa mwinyi aliyekuwa na uwezo wa kumuambia rais bila kumumunya maneno pale ambapo hakufurahia jambo...na alimshauri bila uwoga ....
mfano wanasema haki za askari wa chini alizjali ..labda kwa kuwa naye alianzia huko......pamoja na bajetyi finyu aliwagawia rasilimali chache kwa haki.....na yeye hakuchukua chochote.....alilipenda jeshi kwa moyo wake wooote....
hata wakati anakaeribia kuondoka wenzake wakamshangaa hajafanya chochote cha kujinufaisha ...alikuwa na gari moja tu binafsi....nyumba moja dar es salaam na kwao ....na ngombe kadhaa...ambao yeye alisema wanamtosha kwa kuwa anatunzwa na jeshi.......
kwa wale wanaokumbuka ugomvi wa azania na tambaza uliopelekea kifo cha Pulo ,....kijana aliyekuwa mbabe kama pulo alikuwa ni mtoto wa Kiaro.....mkuu wa shule aliwafukuza wengine akamuacha wa kwake ..kiaro alikataa mwanaye kupendelewa ...ikabidi wote waliofukuzwa adhabu yao iwe kuhamishwa mashule........

nashauri waandishi wanaopita huko wannane na askati na maafisa waliofanya kazi na mkuu huyu ili wapate history ya kutukuka ya huyu mkuuuu.....ili wote tujifnze kwake......

ikumbukwe kuwa mwaka jana tulimpoteza kamanda mwingine ...general musuguri..so hawa makamanda wamebaki wachache sana.....  And This has been published by MAOBA ROSE NO: 12182.

1 comment:

  1. Do! I like this speech very much and iam supporting this person very much for this information and i gains more on this.

    ReplyDelete